Jumapili, 6 Julai 2014

MH. JENISTA MHAGAMA AMPOKEA KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA PERAMIHO


Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mh. Jenista Mhagama Mbunge wa jimbo la Peramiho mara baada ya kupokelewa katika eneo la Seminari Kuu Peramiho akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi na kukagua miradi ya maendeleo na kuimarisha uhai wa chama  Songea mkoani Ruvuma.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-PERAMIHO 2 
Wana CCM waliojitokeza katika mapokezi hayo. 5 
 6 
Nape Nnauye akipiga gitaa huku mbunge wa jimbo la Peramiho Jenista Mhagama kulia  akicheza.

Maoni 1 :

  1. ongera sana mi naomba kuwa mwandhi wa hii blog yako tarifa zako kama nafasi ipo

    namba yangu 0659503616

    JibuFuta