![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Jenista Mhagama akikagua Mradi wa Vijana wa kufyatua Matofali katika Kijiji cha Matimila. |
![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Jenista Mhagama akipokewa na wananchi wakati anawasili kijiji cha Matumila. |
![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Jenista Mhagama akivishwa Taji na Kiongozi wa Vijana katika kijiji cha Matumila. |

| Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Jenista Mhagama akiwajulia hali Wananchi wa kijiji cha Matumila |
![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Jenista Mhagama akimjulia hali Mmoja wa Wazee waishio katika kijiji cha Matumila |

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni