Alhamisi, 10 Julai 2014

PICHA ZA NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI MH. JENISTA MHAGAMA AKIWA BUNGENI DODOMA


Wabunge wa CCM,Kangi Lugola (kulia) wa Jimbo la Mwibara,naMhe. Jenista Joakim MHAGAMA (Mb) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi (katikati) wa Jimbo la Peramiho,wakifurahia jambo na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama (kushoto) walipokutana kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma bunge linaendelea na mkutano wa 13 mjini humo ambapo hoja mbali mbali zinajadiliwa.  DSC_7127 - Copy 
Waziri wa Fedha na uchumi, Saada Mkuya Salum, (kushoto) akijadiliana jambo na Mhe. Jenista Joakim MHAGAMA (Mb) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi walipokutana ndani ya ukumbi wa bunge, wakati wa mjadala wa vipaumbele vya maendeleo ya Taifa, uliowasilishwa bungeni na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais mahusiano na uratibu Stephen Wasira. DSC_7161 
Waziri Chalres Kitwanga, (kushoto) akijadiliana jambo na Wabunge wa CCM, Mhe. Jenista Joakim MHAGAMA (Mb) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi (kulia)Jimbo la  Peramiho na William Ngeleja (nyuma kulia) wa Jimbo la Sengerema, walipokutana ndani ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni