Jumatatu, 7 Julai 2014

NAIBU WAZIRI WA ELIMU JENISTA MHAGAMA AFUNGA MAFUNZO YA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA LUDEWA JIJINI DAR ES SALAAM



1w 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akifunga rasmi mafunzo ya kikazi ya utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM ya 2010 na masuala ya Itikadi kwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa wakiwemo Wenyeviti, Makatibu na Makatibu wenezi wa wilaya  hiyo yaliyokuwa yakifanyika jijini Dar es salaam kwenye hoteli ya JB. Belmont, yakindaliwa na Mbunge Makini na Machachari wa jmbo la Ludewa Mh. Deo Filikunjombe, Viongozi  hao wa CCM wilaya ya Ludewa walianza  na ziara ya kikazi iliyoanzia Bungeni Mjini Dodoma, Chuo Kikuuu cha UDM na Makao makuu ya CCM mjini humo ambapo walikutana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula na kuzungumza naye akiwapa nasaha nyingi kuhusu maadili ya uongozi. (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM) 2w 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria semina hiyo Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ludewa Ndugu Stanley Kolimba. 3w 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo  hayo Eliud Shemauya Katibu wa CCM wilaya ya Ludewa.
 4w 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo  hayoHonolatus Pilimini Mgaya Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Ludewa. 5w 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo  hayo Rosemary Lwiva Mwenyekiti wa UWT  Mkoa wa Njombe. 6w 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akikabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo  hayoviongozi mbalimbali wa kata  CCM wilaya ya Ludewa.
 7wNaibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo  hayoviongozi mbalimbali wa kata  CCM wilaya ya Ludewa. 8w 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti Mbunge wa jimbo la Ludewa Mh. Deo Filikunjombe ambaye ndiye aliyeandaa ziara hiyo na semina ya  kimafunzo  kwa viongozi mbalimbali wa kata  CCM wilaya ya Ludewa. 9w 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akipiga picha na viongozi mbalimbali  wa kata  CCM wilaya ya Ludewa. 10w 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akipiga picha na viongozi mbalimbali  wa kata  CCM wilaya ya Ludewa mara baada ya kufunga mafunzo hayo 11w 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akzungumza na Mh. Deo Filikunjombe Mbunge wa jimbo la Ludewa mara baada ya kufunga semina hiyo. 12w 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akipiga picha na viongozi mbalimbali  wa kata  CCM wilaya ya Ludewa. 13w 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akipiga picha na kamati ya maandalizi ya semina hiyo  14w 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimsikiliza Mh. Deo Filikunjombe wakati alipokuwa akimueleza jambo mara baada ya kupiga picha.
 15w 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akisalimiana na Rosemary Lwiva Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Njombe mara baada ya zoezi la kupiga picha kukamilika, katikati ni Mbunge wa jimbo la Ludewa Mh. Deo Filikunjombe. 16w 
Viongozi hao washiriki wa semina wakiiimba wimbo maalum wa uhamasishaji. 17w 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akiwa ameongozana na Mbunge wa jimbo la Ludewa wakiwasili kwenye ukumbi tayari kwa ajili ya kufunga semina hiyo. 18w 
Huyu ni mmoja wa viongozi wa CCM kutoka wilaya ya Ludewa akiwa amembeba mtoto wake mgongoni katika semina hiyo hakika mtoto huyu naye atakuja kukitumikia chama siku moja. 19w 
Mjumbe wa Bunge maalum la Katiba Dr. Susan Kollimba ambaye pia anatokea wilaya ya Ludewa naye alifika katika semina hiyo na kuwatakia mafunzo mema viongozi hao wa wilaya ya Ludewa. 20w 
Mbunge wa jimbo la Ludewa akizungumza na viongozi hao wa Chama cha Mapinduzi kutoka Wilaya ya Ludewa ambao aliwaandalia ziara ya kimafunzo ya kikazi na kiitikadi ndani ya Chama kabla ya kufungwa kwa semina hiyo leo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni