![]() |
| Wanafunzi wa Maposeni Sekondari wakimsikiza Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama. |
![]() |
| Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akizungumza na Wanafunzi wa Maposeni Sekondari. |




































