Jumatatu, 11 Agosti 2014

NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI MH. JENISTA MHAGAMA AZUNGUMZA NA WANAFUNZI WA MAPOSENI SEKONDARI

Wanafunzi wa Maposeni Sekondari wakimsikiza Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama.


Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akizungumza na Wanafunzi wa Maposeni Sekondari.

MH. RAIS KIKWETE AFUNGUA SOKO LA KIMATAIFA MPAKANI MKENDA JIMBO LA PERAMIHO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa tayari kwa uzinduzi wa Soko la Kimataifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa tayari kwa uzinduzi wa Soko la Kimataifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa tayari kwa uzinduzi wa Soko la Kimataifa.

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akicheza ngom.



Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akizungumza na Madiwani.






Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akicheza ngoma na Waheshimiwa Madiwani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama wakiwa sikiza wadau waliotoa maoni yao kuhusiana na soko Mpya.

Mama Salma Kikwete akizungumza na wakina Mama.






Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimpokea Mama Salma Kikwete akizungumza na wakina Mama.







Jumatatu, 21 Julai 2014

NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI MH. JENISTA MHAGAMA AKICHEZA NGOMA


Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akicheza ngoma ya chomanga, akiwa na wasanii wa kikundi hicho cha Songea Mjini.

RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA BARABARA YA PERAMIHO-MBINGA 78KM



 Barabara ya Peramiho -Mbinga yenye urefu wa Kilometa 78 iliyofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi wengine wa Serikali wakivuta utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Peramiho-Mbinga yenye urefu wa Kilometa 78.

 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya Peramiho-Mbinga 78Km huku akiwa  na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi wengine wa Serikali.

 Mamia ya wakazi wa Mbinga wakifurahia wakati Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa anamshukuru Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa Utendaji wake mzuri wa kuwajali wakazi hao kwa kuwajengea miundombinu bora.
 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wa kwanza kulia akizungumza na Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli kabla ya uzinduzi wa barabara ya Peramiho-Mbinga 78km .Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu.

 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katikati akimshukuru balozi wa China nchini aliye kushoto kwake kwa kazi nzuri iliyofanywa na Mkandarasi kutoka China Kampuni ya Synohdro. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia pamoja na Mawaziri wengine waliohudhuria ufunguzi wa barabara hiyo.



Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katikati akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na baadhi ya Makatibu Wakuu na Mawaziri waliohudhuria katika ufunguzi wa barabara ya Perahimo-Mbinga (Km 78)

Jumamosi, 12 Julai 2014

NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI MH. JENISTA MHAGAMA AFANYA ZIARA JIMBONI KWAKE PERAMIHO

Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Jenista Mhagama akikagua Mradi wa Vijana wa kufyatua Matofali katika Kijiji cha Matimila.

Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Jenista Mhagama akipokewa na wananchi wakati anawasili kijiji cha Matumila.

Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Jenista Mhagama akivishwa Taji na Kiongozi wa Vijana katika kijiji cha Matumila.

Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Jenista Mhagama akivishwa Taji na Kiongozi wa Vijana katika kijiji cha Matumila.

Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Jenista Mhagama akivishwa Taji na Kiongozi wa Vijana katika kijiji cha Matumila.

Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Jenista Mhagama akishiriki katika zoezi la kufyatua matofali kama ishara ya kuwa unga mkono Vijana wajasiriamali katika kijiji cha Matumila

Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Jenista Mhagama akiwajulia hali Wananchi wa kijiji cha Matumila

Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Jenista Mhagama akishiriki katika zoezi la kufyatua Matofali kama ishara ya kuwa unga mkono Vijana wajasiriamali katika kijiji cha Matumila
Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Jenista Mhagama akimjulia hali Mmoja wa Wazee waishio katika kijiji cha Matumila

Ijumaa, 11 Julai 2014

Waziri wa Elimu Dk. Kawambwa afafanua kuhusu matokeo ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne 2013

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, akifafanua jambo, wakati alipokuwa akizungumza na waandishi habari, mjini Dodoma leo, kuhusu matokeo ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne pamoja na kutoa ufafanuzi kuhusu ufauli, alama na daraja za ufaulu kwa wanafunzi waliofanya mtihani huo, kwa mwaka 2013. Kushoto ni Naibu wake, Jenista Mhagama. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama,  akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati yeye na Waziri wake, Dk. Shukuru Kawambwa (kushoto kwake), walipokuwa wakizungumza na waandishi habari, mjini Dodoma leo, kuhusu matokeo ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne pamoja na kutoa ufafanuzi kuhusu ufauli, alama na daraja za ufaulu kwa wanafunzi waliofanya mtihani huo, kwa mwaka 2013. 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama akielezea jambo kwa waandishi wa habari, wakati yeye na Waziri wake, Dk. Shukuru Kawambwa (kulia), walipozungumza na waandishi wa habari, mjini Dodoma leo, kuhusu matokeo ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne pamoja na kutoa ufafanuzi kuhusu ufauli, alama na daraja za ufaulu kwa wanafunzi waliofanya mtihani huo, kwa mwaka 2013. 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, akizungumza jambo kwa waandishi wa habari, wakati yeye na Waziri wake, Dk. Shukuru Kawambwa (kulia), wakizungumza, mjini Dodoma leo, kuhusu matokeo ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne pamoja na kutoa ufafanuzi kuhusu ufauli, alama na daraja za ufaulu kwa wanafunzi waliofanya mtihani huo, kwa mwaka 2013. 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, akifafanua jambo wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari, mjini Dodoma leo. Kulia ni Waziri wake, Dk.Shukuru Kawambwa 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, akifafanua jambo, wakati wa mkutano huo na waandishi habari, mjini Dodoma leo, alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu matokeo ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne, ufauli, alama na daraja za ufaulu kwa wanafunzi waliofanya mtihani huo, kwa mwaka 2013. 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, akielezea jambo, wakati alipokuwa akizungumza na waandishi habari, mjini Dodoma leo, kuhusu matokeo ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne kwa mwaka 2013. Kulia kwake ni Naibu wake, Jenista Mhagama.  
Waandishi wa habari, wakimsikiliza Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, wakati alipozungumza nao kuhusu matokeo ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne, ufauli, alama na daraja za ufaulu kwa wanafunzi waliofanya mtihani huo, kwa mwaka 2013. 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, akijibu maswali ya waandishi habari, mjini Dodoma leo, wakati alipozungumza nao kuhusu matokeo ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne pamoja na kutoa ufafanuzi kuhusu ufauli, alama na daraja za ufaulu kwa wanafunzi waliofanya mtihani huo, kwa mwaka 2013. Kushoto ni Naibu wake, Jenista Mhagama.   
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, akizungumza na waandishi habari, mjini Dodoma leo, katika mkutano huo.  
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, akizungumza na waandishi habari, mjini Dodoma leo, katika mkutano huo, kuhusu matokeo ya kidato cha nne ya mtihani wa Taifa kwa mwaka 2013. Kushoto ni Naibu wake, Jenista Mhagama.  
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (katikati), akizungumza na waandishi habari, mjini Dodoma leo.  
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (katikati), akizungumza na waandishi habari, mjini Dodoma leo.  
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, akielezea jambo katika mkutano huo, mjini Dodoma leo, alipokuwa akizungumza kuhusu matokeo ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne pamoja na kutoa ufafanuzi kuhusu ufauli, alama na daraja za ufaulu kwa wanafunzi waliofanya mtihani huo, kwa mwaka 2013. Kushoto ni Naibu wake, Jenista Mhagama.